HomeEntertainmentFiga - Ethic Lyrics, Download Mp3, Download Video

Figa – Ethic Lyrics, Download Mp3, Download Video

Boy group Ethic Entertainment has released a sizzling hot song dubbed ‘Figa’.

The group comprising of 4 males namely Zilla,  Seska,  Swat and Rekless has been trending on the musical charts for a while now thanks to the hit songs they’ve been releasing.

Check out hamilton lyrics on AllMusicals.com

The group came to the limelight after releasing a controversial hit song ‘Lamba Lolo”

Watch and download the video below,

Download Mp3

Figa Lyrics 

Motif di don

Kwanza venye umejibebanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Tako venye we huichezanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Figa fire yaani dangerous  Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Fanya nafeel kama veteran Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Ah, me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)

Ringi ndani ya goro Alafu akuwe solo Kwanza akiwa momo Buda na mchongoa Macho zako ndogo chongo Mlami mboko mpaka usogo Dem akiwa campo ana stone proper Alafu akiwa vajo anadondosa Pale down town na anadondosa Pale down, pale down kudondosa

Venye umejibebanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Tako venye we huichezanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Figa fire yaani dangerous  Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Fanya nafeel kama veteran Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Ah, me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)

Niko kidalio shamba nachuna mboga Leta jaza kwa chupa ya Jonnie Walker Mi natakia mayeng mula rieng  Nazichuna kama Matiang’i Ni kunyanda upigwe mboka Kuku manga kwa tools zangu za mogoka Hakuna panya, so paka atakula nyoka Wakitaka kitanda niko na sofa Chapa chapa ukichapa, naachia ngoma

Venye umejibebanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Tako venye we huichezanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda Figa fire yaani dangerous  Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Fanya nafeel kama veteran Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Ah, me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)

Kwa mbulu, looku, washa kindukulu Kam tu kejani nikupige maviboko Pale Instagram, tunachachisha na kimboto Venye unawatesa mi napenda mangoko, mangoto, malocal Siko kwa mbosho, orosho  Madiva zimebude na ni koro Kulamba mororo, fika ndono juu ya koto Vurugu kukaba kwa kina mahuru

Kwanza venye umejibebanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Tako venye we huichezanga Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Figa fire yaani dangerous  Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Fanya nafeel kama veteran Me hudai, me hudai  Me hupenda napenda  Ah, me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda) Me hupenda napenda(penda)

Popular Posts