Weka mbali na watoto..Tazama picha za Agness Mmassy mbaraza(Socialite) anayeibukia toka Tanzania

Kila kuchao tasnia ya burudani inazidi kukuwa na wasanii wapya kupata upenyu na kutawala. Vivyo hivyo upande mwingine jukwaa la ubaraza linazidi kupanuka zaidi na kupata wabaraza (socialites) kila leo.

Mbaraza Wa hivi punde ambaye kwa Sasa anazungumziwa zaidi kutoka upande wa mwanza anaitwa Agnes Mmassy. Uzuri wake na umbo lake Matata ndivyo vitu vinavyonfanya apendeze zaidi. Tazama baadi ya picha zake: