Rosemary Odinga ajiondoa kwenye Kinyang’anyiro cha ubunge eneo bunge la Kibera Hii hapa sababu

Rosemary Odinga mwanawe wa kike Kinara wa chama cha ODM Raila Amollo Odinga hatawania tena ubunge katika eneo bunge la Kibera.

Uamuzi huu umetokana na Daktari wake ambaye alimshauri kuwa kulingana na hali yake ya afya ni vyema ajiondoe kwa kinyang’anyiro hicho.

Kupitia akaunti yake ya facebook aliandika hivi:

It is following my doctor’s advice, that for the time being, I will continue serving my community in other capacities and regrettably bow out of the race for Member of Parliament. I would like to thank each and every person that supported my bid and the people of Kibra for opening their hearts and homes to me. I will forever cherish your outpouring love and prayers.”

Rosemary angali bado anapokea matibabu nchini Africa kusini.