Rais Obama hatahudhuria Mazishi ya Muhammad Ali

Ikulu White House imethibithisha  kuwa Rais wa Marekani, Obama pamoja na mkewe hawatahudhuria mazishi ya bondia mwenda zake Muhammad Ali. Hata hivyo viongozi wengi watahudhuria mazishi hayo amabayo yatafanyika Ijumaa huko Kentucky.

Muhammad aliaga dunia kutokana matatizo ya upumuaji ambayo yalimtatiza kwa muda mrefu. Mola ailaze roho yake mahala pema peponi.