Picha: Mjue mtoto wa kike wa King Kaka… Urembo nayo!!

Mtoto ni zawadi anuwai kutoka kwa mwenyezi mungu na ujaliwapo ni sharti kushukuru.

Msanii ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kufoka King Kaka ni mmoja wapo wanaofurahia baraka za kujaliwa mtoto.

Gweth Lisawanza Ombima ni mtoto wake wa kike na tarehe 16/04/2017 alisherekea siku yake ya kuzaliwa.

Hii hapa baadhi ya picha zake:  Gweth ana umri wa miaka tatu.