Picha: Kilio na majonzi Mchekeshaji Ayeiya Poa Poa anapopewa kwa heri ya mwisho

Ndugu na marafiki wamefika nyumbani kwa aliyekuwa mchekeshaji wa kipindi maarufu cha Churchil show Ayeiya poa poa kumpa kwa heri ya mwisho. 

Miongoni mwa waliofika kuifariji familia ya mwenda zake ni Churchil (Daniel Ndambuki).

Mwenda zake Emmanuel Makori atapumzishwa baadaye hii leo nyumbani kwao Nyansiongo katika County ya Nyamira.

Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahala pema peponi