Diamond Platnumz autaja wimbo ambao hutumia kufanyia Balaa kitandani

Abdul Naseeb maarufu kama Diamond Platnumz ni msanii ambaye anafanya vizuri sio tu Afrika Mashariki bali hata nje ya Afrika.

Hit maker huyo wa fire, amewaacha wengi vinywa wazi baada ya kuutaja wimbo ambao anautumia kufanyia balaa kitandani. Wimbo wenyewe ni Dede wake Lavalava. Tazama hapo chini: