Baada ya kusemwa sana kwa ubaya na mashabiki wake Nyota Ndogo abadilisha Make up artist

Nyato Ndogo ni msanii ambaye amekuwa kwenye ulingo wa mziki kwa muda mrefu. Jina lake halisi ni Mwanaisha Abdalla na hivi maajuzi alifunga ndoa ya kifahari ambayo ilibaki kuzungumziwa na wengi.

Kitu amabacho kilifanya harusi ya Nyota kuzungumziwa zaidi ni namna alipokuwa amejipodoa huku wengi wakimsimanga kuwa muonekano wake uliokuwa “wakishetani”.

Kama njia ya kujaribu kuleta muonekano mzuri Hitmaker huyo wa watu na viatu aliamua kubadilisha make-up artist ndiposa alete muonekano ambao utavutia zaidi.

Kupitia ukurasa wake wa facebook Nyota aliandika hivi:

Lavies Spa & Barbershop
SPA -Beauty Confindence
In NYALI has Offered to be doing my MAKE-UP
tha-salonguybrax is my new make-up Artiste and Hair stylist
Lavies Spa & Barbershop