26 wanahofiwa kufa katika ajali mbaya eneo la Kambuu

Ajali hii ilitokea Jumatatu usiku ambapo ilihusisha basi na truck katika barabara ya Nairobi-Mombasa.

Mkuu wa polisi wa Kibwezi Leonard Kimaiyo ameelza kuwa ajali hiyo ilisababishwa wakati basi lilitaka kuovertake lori iliyokuwa mbele bahati mbaya ikagongana na truck iliyokuwa inaotaka upande mwengine.

Walioathirika wanapokea matibabu katika hosipitali ya Makindu.