HII NDIO SABABU STUDIO YA WASAFI RECORDS IMEFUNGWA

 

wasafi

Wasafi records ni mojawapo ya studio ambayo hivi karibuni imeondokea kutayarisha nyimbo ambazo zimefanya vizuri sana. Kama njia moja ya kuiboresha zaidi, imefungwa kwa muda usiojulikana ili kuifanyia marekebisho.

Diamond platnumz alithibithisha kupitia akaunti yake ya  instagram. Aliandika hivi;

I can’t wait to present to you our @WasafiRecords New Look!…. Still on the Making though?
(Tumesimamisha huduma za Studio kidogo kwa sasa tunafanya marekebisho ili tuzidi kuwapatia kazi bora na hata muonekano mzuri wa selfie tukiwa kibaruani…. inshaallah siku si nyingi tutakuwa tumemaliza….@WasafiRecordsHouse Of Hits!) @red_interiors.